• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano mkuu wa 19 wa chama cha kikomunisti cha China chaanza kupokea wanahabari kutoka nje

  (GMT+08:00) 2017-10-12 08:54:12

  Kituo cha vyombo vya habari kwa ajili ya Mkutano wa mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China unaotarajiwa kufunguliwa Oktoba 18 hapa Beijing, kimetangaza kuwa kitaanza rasmi kupokea wana habari kutoka nchi za nje. Mkurugenzi wa kituo hicho Bw Hu Xiaohan amesema kituo hicho kilichopanuliwa na kuboreshwa, kinaweza kupokea wanahabari 170, na kina huduma ya WIFI inayopatikana kwenye maeneo yote kwenye kituo hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako