• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 50 wajeruhiwa baada ya lori la mafuta kulipuka Burundi

    (GMT+08:00) 2017-10-12 08:54:30

    Polisi nchini Burundi wamesema watu hamsini wamejeruhiwa baada ya lori moja la kusafirisha mafuta kulipuka Jumanne mkoani Karusi, katikati mwa nchi hiyo. Msemaji wa polisi ya Burundi Bw. Pierre Nkurikiye amesema lori hilo lilipinduka na kulipuka, wakati wakazi wa karibu walipokuwa wanachota mafuta yaliyovuja barabarani. Kati ya majeruhi, watu 15 walijeruhiwa vibaya, na kukimbizwa kwenye hospitali za Gitega na Karusi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako