• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kituo cha habari cha Mkutano mkuu wa CPC chaanza huduma

  (GMT+08:00) 2017-10-12 14:21:37

  Kituo cha habari cha Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China jana kilianza rasmi kutoa huduma kwa vyombo vya habari.

  Imefahamika kuwa kwenye kipindi cha mkutano huo, kituo hicho kwa mara ya kwanza kitaweka "Ushoroba maalumu wa wajumbe wa chama", ambapo wajumbe wataweza kujibu maswali ya waandishi wa habari kabla kuingia kwenye chumba cha mkutano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako