• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu saba wafariki baada ya jengo kuanguka nchini Kenya

  (GMT+08:00) 2017-10-12 18:47:35

  Watu saba wamefariki na wengine 22 kujeruhiwa baada ya jengo moja la ghorofa nne lililokuwa linajengwa katika Kaunti ya Kisii kuanguka nchini Kenya hapo jana.

  Naibu mkurugenzi wa Kitengo cha Kudhibiti Maafa Pius Masai Mwachi amesema, mwanaume mmoja bado hajulikani alipo, na kwamba kazi ya uokoaji imesimamishwa kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwenye eneo hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako