• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Philippe Coutinho huenda akaonekana Barcelona januari mwakani

    (GMT+08:00) 2017-10-13 08:36:29

    Nyota wa Liverpool ambaye raia wa Brazil Philippe Coutinho mwezi July aliingia kwenye vichwa vya habari baada ya tetesi za usajili kuhusisha jina lake kuwa anakwenda Hispania kujiunga na club ya FC Barcelona kama mbadala wa Neymar aliyekuwa anatazamiwa kujiunga na PSG. Na sasa gazeti la Mundo Deportivo limeripoti kuwa uongozi wa Liverpool umeridhia kumuachia Coutinho ajiunge na club ya FC Barcelona ya Hispania ifikapo mwezi January. Barcelona walituma ofa nono zaidi ya tatu kwa Liverpool kuwashawishi wamuachie Coutinho lakini haikuwa rahisi kumuachia, ila juzi gazeti la Mundo Deportivo la Hispania limethibitisha kuwa nyota huyo ataondoka Liverpool mwezi January taarifa zilizovujishwa na viongozi wa Barcelona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako