• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kitabu cha "Maendeleo na mafanikio mapya yaliyopatikana tangu mkutano mkuu wa 18 wa CPC" chatolewa

    (GMT+08:00) 2017-10-13 18:56:13

    Kitabu cha "Maendeleo na mafanikio mapya yaliyopatikana tangu ulipofanyika mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China" kilichotungwa na idara 20 zikiwemo wizara ya mambo ya nje, ya elimu, na ya sayansi na teknolojia kimechapishwa na kutolewa nchini China.

    Hiki ni kitabu muhimu cha kukaribisha mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China, kinachoonyesha mafanikio yaliyopatikana nchini China katika mambo ya ndani, ya nje, sera kubwa na maisha ya watu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kwenye msingi wa utekelezaji wa hotuba muhimu za rais Xi Jinping na uongozi wa fikra na mikakati mipya ya utawala ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako