• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya Volleyball ya wanawake: Kenya, Cameroon zafuzu kushiriki kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2017-10-16 08:15:56
    Timu ya taifa za volleyball za wanawake za Kenya na Cameroon zimefuzu kushiriki fainali za kombe la dunia (FIVB) katika mashindano ya volleyball ya wanawake zitakazoandaliwa nchini Japan 2018.

    Malkia Strikers ya Kenya imejizolea tiketi hiyo baada ya kuwafunga mahasimu wao Misri kwa seti 3-0 katika nusu fainali ya kipute hicho iliyoandaliwa Ijumaa jijini Yaounde, nchini Cameroon.

    Wenyeji Cameroon walitwaa tiketi ya kushiriki fainali kwa kuangusha Senegal kwa seti 3-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako