• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wajumbe wa Mkutano mkuu wa 19 wa CPC wawasili Beijing

    (GMT+08:00) 2017-10-16 09:31:18

    Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China utafunguliwa tarehe 18 Oktoba, mjini Beijing. Wajumbe 2,200 wakiwakilisha matawi milioni 4.5 ya chama kuanzia ngazi ya shina na wanachama wote milioni 89, watawasili Beijing leo na kesho, ili kuhudhuria mkutano huo unaofuatiliwa na dunia nzima.

    Imefahamika kuwa mashirika ya usafiri na hoteli mbalimbali zitakazowahudumia wajumbe hao zimefanya maandalizi kwa ajili ya kupokea wageni wanaokuja kuhudhuria mkutano huo, hivi sasa kazi za maandalizi zinazohusiana na mkutano huo zinaendelea kwa utaratibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako