• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nakumatt kutajwa kama mlipaji bora wa kodi Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-10-16 19:19:49

    Duka kubwa la Nakumatt nchini Rwanda ambalo liko na matawi matatu nchini humu, limetajwa bora zaidi kwa ulipaji kodi katika mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato ya Rwanda (RRA) ili kuwatambua walipaji kodi.

    Mkrungezi mkuu wa Mamlaka hiyo, ametangaza kuwa shirika la ukusanyaji kodi umeweza kufikia lengo lilikuwa limewekwa katika mwaka wa fedha uliopita.

    Meneja wa Duka la Nakumatt Rwanda Adan Ramata amesema kampuni hiyo, itaendelea kudumisha mifumo ya usimamizi wa kodi ya busara ili kusaidia Mkusanyiko wa Ushuru nchini Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako