• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la serikali ya Iraq ladhibiti mji wa Kirkuk

  (GMT+08:00) 2017-10-17 09:17:07

  Jeshi la serikali limetwa udhibiti kamili wa mji wa Kirkuk, na wapiganaji wa kundi la Kikurdi wameondoka.

  Ofisi ya waziri mkuu wa Iraq imesema kwa mujibu wa amri kutoka waziri mkuu Bw Haider al-Abadi ambaye pia ni kamanda mkuu wa jeshi, jeshi la serikali limepandisha bendera ya Iraq katika mji wa Kirkuk. Hivi sasa, jeshi hilo linadhibiti barabara kuu, majengo ya serikali na miundo mbinu muhimu ya mafuta.

  Habari zinasema, Uturuki imepiga marufuku ndege zote zinazokwenda au kutoka kwenye jimbo la wakurdi kupita katika anga ya Uturuki, ikiwa ni hatua ya kuiunga mkono serikali kuu ya Iraq kurejesha mamlaka katika jimbo la Wakurdi na kujenga upya utaratibu wa kibinadamu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako