• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tenisi: Federer na Sharapova wanyakua ubingwa.

    (GMT+08:00) 2017-10-17 09:52:40
    Bingwa wa Wimbledon Roger Federer ametwaa ubingwa wa Shanghai Masters baada ya kumfunga mchezaji namba moja duniani kwa ubora Rafael Nadal seti 6-4, 6-3. Federer raia wa Uswiss ametwaa taji lake la 6 ndani ya mwaka huu akiwa mchezaji wa pekee aliyemshinda Nadal mara5 ndani ya mwaka huu.

    Kwa upande wa wanawake, Maria Sharapova ameshinda taji la kwanza tangu Mei 2015, baada ya kumfunga Aryna Sabalenka kwa seti 7-5,7-6,10-8 kwenye fainali ya wazi ya Tianjin iliyochezwa mwishoni mwa wikiendi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako