• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu ya Uingereza (EPL): Rooney aisawazishia Evarton kwa penati dakika ya 90

    (GMT+08:00) 2017-10-17 09:54:02
    Mshambuliaji Wayne Rooney akipiga penalti kuifungia bao la kusawazisha Everton dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana katika mchezo wa ligi kuu ya England uliofanyika uwanja wa the American express community mjini Falmer, East Sussex. Bao la Brighton lilifungwa na Anthony Knockaert dakika ya 82
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako