• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wajumbe wote watakaohudhuria Mkutano mkuu wa 19 wa CPC wawasili Beijing

    (GMT+08:00) 2017-10-17 09:59:44

    Wajumbe wote watakaohudhuria Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China wamewasili Beijing.

    Makundi 38 ya wajumbe wanaowakilisha mikoa, mikoa inayojiendesha, miji inayotawaliwa moja kwa moja na serikali kuu, mashirika mbalimbali ya serikali, jeshi la ukombozi wa umma la China, polisi pamoja na wajumbe kutoka Taiwan wote wamewasili mjini Beijing na kujiandikisha kwenye mkutano huo.

    Wajumbe wanaona kuwa, mkutano huo unaofanyika katika kipindi muhimu cha kujenga jamii yenye maisha bora kwa pande zote, na ujamaa wenye umaalumu wa China, utakuwa na umuhimu mkubwa katika historia ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako