• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano mkuu wa 19 wa CPC kufanyika kesho

    (GMT+08:00) 2017-10-17 14:22:06

    Mkutano wa 19 wa chama cha kikomunisti cha China utafanyika kesho saa 3 asubuhi katika Jumba la mikutano ya umma la Beijing.

    Radio ya serikali kuu ya China, kituo cha televisheni CCTV, na Radio China Kimataifa zitafanya matangazo ya moja kwa moja kuhusu ufunguzi wa mkutano huo mkubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako