• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China kufunguliwa kesho

    (GMT+08:00) 2017-10-17 19:05:07

    Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China unatarajiwa kufunguliwa kesho asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano ya umma mjini Beijing, ukihudhuriwa na wajumbe 2,287.

    Vyombo vya habari vya China ikiwa ni pamoja na Radio ya taifa ya China, Televisheni ya Taifa ya China na Radio China Kimataifa, vitatangaza moja kwa moja ufunguzi wa mkutano huo. Watumiaji wa mtandao wa internet wanaweza kuangalia ufunguzi moja kwa moja kupitia tovuti za www.xinhuanet.com na www.people.com.cn.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako