• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wasiotangaza utariji wao Rwanda kupunguziwa asilimia 25 ya mshahara

    (GMT+08:00) 2017-10-17 19:15:40

    Wafanyakazi wa serikali nchini Rwanda wasiotangaza utajiri wao watapunguziwa mshahara wao kwa asilimia 25.

    Mkuu wa ofisi ya Ombudsman nchini humo Anastase Murekezi akitoa ripoti yake bungeni amesema watumishi wa umma wapatao 1,000 wametangaza utajiri wao lakini kuna baadhi ambao hawajafanya hivyo.

    Mwaka 2016 watumishi 6 wa umm walishindwa kueleza chanzo cha utajiri wao na hivyo polisi kuana kuwachunguza.

    Murekezi aliwaambia wabunge kuwa katika kipindi cha mwaka wa feha kijacho ofisi ya Ombudsman inatarajia kupokea ripoti kuhusu utajiri wa zaidi ya watumishi wa umma 1, 500.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako