• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kampuni mbili za uchimbaji madini zazimamishwa Uganda

    (GMT+08:00) 2017-10-17 19:18:02

    Mamlaka katika wilaya ya Namayingo imesimamisha shughuli za kampuni mbili za uchimbaji wa madini kwa kukosa leseni.

    Kamishena wa wilaya hiyo Sylvester Opera, amesema kampuni hizo mbili kutoka Tanzania zenye jina moja la ALJOUDA zinahamisha wakaazi kutoka nyumba zao bila leseni.

    Wilaya hiyo ina utajiri wa madini kama vile dhahabu na chokaa.

    Opera amesema kampuni hizo zilianza kuchimba dhahabu katika kijiji cha Banda mwaka 2008 na tangu wakati huo wilaya hiyo haijawahi kunufaika la lolote kutokana na madini hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako