• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa maandalizi wa Mkutano mkuu wa 19 wa CPC wafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2017-10-17 19:41:56

    Mkutano wa maandalizi ya Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefanyika leo hapa Beijing.

    Rais Xi Jinping wa China ameendesha mkutano huo, ambao umepitisha orodha ya wajumbe wa tume ya ukaguzi wa usajili wa wajumbe inayoundwa na watu 22, orodha ya wajumbe wa tume ya mkutano mkuu wa 19 inayoundwa na watu 243, na Bw. Liu Yunshan kuwa katibu mkuu wa mkutano mkuu wa 19.

    Mkutano huo wa maandalizi pia umepitisha ajenda za mkutano mkuu wa 19 wa CPC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako