• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Simbwa achaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Agosti.

    (GMT+08:00) 2017-10-18 08:23:13
    Kocha mkuu wa Sofapaka, Sam Ssimbwa amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Agosti jijini Nairobi. Ssimbwa ameshinda tuzo hiyo kwa kumbwaga mpinzani wake kocha mkuu wa Gor Mahia, Dylan Kerr kwa kura 18-6 mwezi Agosti

    Tuzo ya Ssimbwa itawasili siku chache tu baada ya mshambuliaji matata Umaru Kasumba kutoka Uganda kutwaa taji la mchezaji bora wa mwezi Septemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako