• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya Wachina milioni 60 waondokana na umaskini katika miaka mitano iliyopita

    (GMT+08:00) 2017-10-18 10:22:28

    Kwenye mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China, katibu mkuu wa kamati kuu ya chama Bw. Xi Jinping amesema chama hiki kimekuwa kinashikilia wazo la kujiendeleza kwa ajili ya umma, na mapambano dhidi ya umaskini yamepata mafanikio makubwa katika miaka mitano iliyopita, zaidi ya Wachina milioni 60 wameondokana na umaskini, yaani wastani wa zaidi ya milioni 10 kila mwaka. Idadi ya watu maskini nchini China imepungua kuwa chini ya asilimia 4 kutoka asilimia 10.2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako