• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati kuu ya chama cha CPC kuimarisha utekelezaji na usimamizi wa katiba

    (GMT+08:00) 2017-10-18 11:30:08

    Katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping alipotoa ripoti kwenye Mkutano mkuu wa 19 wa Chama unaofanyika leo hii hapa Beijing, amesema kamati kuu ya chama kitaanzisha timu ya uongozi kwa kuhimiza utawala wa kisheria, kwa lengo la kuimarisha uongozi kwenye mchakato wa kutimiza utawala wa nchi kwa mujibu wa sheria, kuimarisha utekelezaji na usimamizi wa katiba na kulinda heshima na maamuzi ya katiba.

    Bw. Xi ameyataka matawi ya chama kwenye ngazi zote na wanachama wote waongoze katika kuheshimu sheria, kujifunza sheria, kufuata sheria na kutumia sheria, na kusisitiza kuwa watu wa mashirika yoyote na mtu binafsi yeyote hawaruhusiwi kuwa na haki maalumu inayokiuka katiba ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako