• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaahidi kuwatoa watu wote maskini wa vijijini kutoka kwenye umaskini ifikapo mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2017-10-18 11:58:30

    Katibu mkuu wa Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping alipotoa ripoti kwenye Mkutano mkuu wa 19 wa chama unaofanyika leo hii hapa Beijing, amesisitiza kuwa China itahakikisha watu wote maskini wa maeneo ya vijijini kote nchini wanaondokana na umaskini ifikapo mwaka 2020.

    Amesema ili kutimiza lengo hilo, kamati kuu ya chama itahamasisha nguvu zote za chama na jamii, katika kutekeleza mkakati wa kuwafuatilia barabara watu maskini na maeneo maskini yanayohitaji misaada, na kuzingatia kuwajengea uwezo kwenye kazi ya kupunguza umaskini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako