• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuharakisha mageuzi ya utaratibu wa kuhifadhi mazingira

    (GMT+08:00) 2017-10-18 12:14:00

    Katika ripoti ya mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China, Bw. Xi Jinping amesema China itaharakisha utungaji wa sheria na sera kuhusu uzalishaji na matumizi bila kuchafua mazingira, kujenga mfumo wa uchumi ambao unabana matumizi ya nishati na kutimiza maendeleo endelevu, kuendeleza mambo ya fedha yasiyosababisha uchafuzi, kuimarisha udhibiti wa uchafuzi wa hewa, maji na udongo wa ardhi, kuinua vigezo kuhusu utoaji wa uchafu na maji taka, kushiriki kwenye shughuli za usimamizi wa mazingira duniani, kutatua masuala makubwa ya mazingira, kutekeleza miradi mikubwa ya kuhifadhi na kuboresha mazingira, kuanzisha utaratibu wa kupunguza uharibifu wa mazingira, kuunda idara za kiserikali za usimamizi rasilimali na mazingira ya asili, kuanzisha utaratibu wa uendelezaji na uhifadhi wa ardhi, na kujenga utaratibu wa maeneo ya uhifadhi wa mazingira kwenye msingi wa hifadhi za kitaifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako