• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Djibouti aishukuru China kwa kujenga shule nchini humo

    (GMT+08:00) 2017-10-19 08:49:23

    Shule ya mafunzo ya kimsingi iliyojengwa kwa misaada ya China imefanya sherehe ya kufungua muhula, ambapo rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti ameishukuru China kwa kuunga mkono maendeleo ya elimu nchini humo. Balozi wa China nchini humo Bw. Fu Huaqiang ameitaja shule hiyo kama alama ya urafiki kati ya China na Djibouti, na ushahidi wa maendeleo ya uhusiano kati ya nchi mbili, na kutumai kuwa shule hiyo itatoa mchango kwa ajili ya maendeleo ya elimu nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako