• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM kuwatembelea walinzi wa amani nchini Jamhuri ya Afrika ya kati

    (GMT+08:00) 2017-10-19 08:49:43

    Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Bw. Antonio Guterres anatarajiwa kufanya ziara nchini Jamhuri ya Afrika ya kati wiki ijayo, na kuwatembelea walinzi wa amani wa Umoja huo wanaotekeleza majukumu nchini humo, ikiwa ni hatua ya kutoa heshima kwa walinzi wa amani kote duniani. Bw. Guterres amesema operesheni za kulinda amani ni moja ya mbinu muhimu za jumuiya ya kimataifa kukabiliana na changamoto za amani na usalama duniani, ambapo walinzi wa amani wameonesha ushupavu na dhamira thabiti kuziondoa nchi mbalimbali kutoka kwenye machafuko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako