• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Chuo kikuu cha Jomo Kenyata uuza vipatakilishi kwa shule za msingi

    (GMT+08:00) 2017-10-19 18:02:38

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta sayansi na teknolojia kitauza rasmi vipatakilishi vilivyotengenezwa na wanafunzina wataalamu wake kwa shule za msingi nchini Kenya.

    Naibu Chnsella wa Chuo hicho Mabel Irunga amesema vipatakilishi hivyo vitatumika katika kufunza mtaala wa kisasa wa dijitali kwa wanafunzi .

    Vipatakilishi hivyo vya 2gb na Ram ya 64 gb vitauzwa kwa gharama ya shilingi bilioni 17 kwa shule za umma na pia wasimamizi wa mradi huo wamekubali kuwauzia wamiki wa shule binafsi za msingi.

    Mradi huo umefanywa kwa ushirikiano wa jkuat ,benki ya Equity na KCB pamoja na usaidizi wa teknolojia kutoka serikali ya Ureno.

    Vipatakilishi 1250 vimeuzwa katika shule za kaunti 21 kwa sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako