• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IOM yatoa msaada wa dharura kwa wakimbizi nchini Libya

    (GMT+08:00) 2017-10-20 10:36:31

    Shirika la uhamiaji la kimataifa IOM linatekeleza mpango wa dharura wa kuwasaidia wakimbizi nchini Libya, haswa kwenye maeneo ya magharibi nchini humo. Tume ya misaada ya Umoja wa mataifa nchini Libya imetoa ripoti ikisema baada ya mapambano yaliyodumu kwa wiki kadhaa katika mji wa pwani wa Sabratha, wahamiaji elfu 14 ambao awali walikuwa wanashikiliwa kwenye vituo na kambi za muda, wamehamishiwa kwenye eneo la Dahman mjini humo, ambako shirika hilo linawapatia misaada ya dharura ikiwemo chakula, maji na mahitaji mengine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako