• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Tanzania Bara (VPL) Simba yaifundisha soka Njombe mji, Azam yalazimishwa sare, Ajib aipa Yanga Ushindi.

    (GMT+08:00) 2017-10-23 08:23:00

    Mshambuliaji Mganda Emmanuel Okwi jumamosi amefunga magoli 2 na kuseti 2 ambapo Simba ikiibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Njombe Mji. Kwa ushindi huo, Simba imeendelea kukaa kileleni mwa ligi hiyo. Azam wao wakiwa ugenini wameambulia sare ya bila kufungana na Mbao fc, Mtibwa Sugar imeshinda goli 1-0 dhidi ya timu ngumu ya Prisons, nayo Lipuli ikiifunga Wanalizombe Majimaji goli 1-0. Yanga ikicheza uwanja wa nyumbani imepata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Stand United.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako