• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AMISOM yatoa wito wa kukomesha utumikishaji wa watoto jeshini Somalia

    (GMT+08:00) 2017-10-23 08:47:29

    Tume ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM imetoa wito wa kukomesha utukimishaji wa watoto kama askari kwenye mapambano ya kisilaha nchini Somalia. Akiongea kwenye hafla ya kumalizika kwa mafunzo ya kuwalinda watoto dhidi ya utumikishwaji jeshini nchini Somalia, mkurugenzi wa masuala ya ulinzi, haki za binadamu na jinsia wa tume hiyo Bw Kareem Adebayo amesema mafunzo hayo yanayoshikirisha maofisa kutoka jeshi na serikali ni muhimu kwa kuwa kila mtoto nchini Somalia anakabiliwa na hatari ya kutumikishwa kama askari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako