• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la serikali la China latoa uamuzi kuhusu kurekebisha baadhi ya sheria za utawala

    (GMT+08:00) 2017-10-23 18:43:12

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesaini amri ya baraza la serikali la China, akitangaza utekelezaji wa Uamuzi wa baraza la serikali kuhusu kurekebisha baadhi ya sheria na kanuni za utawala.

    Waraka huo umeamua kurekebisha baadhi ya vifungu vya sheria na kanuni za utawala ili kukabidhi baadhi ya mamlaka ya kutoa idhini, kuimarisha usimamizi, kuboresha huduma na kuchochea uhai wa soko na jamii. Baada ya kurekebisha vifungu 35 kwenye sheria na kanuni 15, utoaji wa idhini 20 ikiwemo kitambulisho cha muda cha kiongozi wa watalii ambao zamani ulishughulikiwa na serikali za mitaa kwa sasa umefutwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako