• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati ya utendaji ya mkutano mkuu wa 19 wa CPC yapitisha rasimu ya orodha ya wajumbe wa kamati kuu ya CPC

    (GMT+08:00) 2017-10-23 19:19:21

    Kamati ya utendaji ya mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China imefanya mkutano wa 3 jana usiku na mkutano wa 4 leo asubuhi, na kupitisha rasimu ya orodha ya wajumbe wa kamati kuu 19 ya chama, wajumbe wasio rasmi wa kamati hiyo na wajumbe wa kamati ya ukaguzi wa nidhamu ya Kamati kuu ya 19 ya chama, na kuuwasilisha kwa wajumbe mbalimbali ili ujadiliwe.

    Katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping ameendesha mikutano hiyo mwili.

    Uchaguzi wa wajumbe utafanyika rasmi kesho asubuhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako