• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda uchaguzi nchini kenya utaathiri biashara za Uganda

    (GMT+08:00) 2017-10-23 19:39:26
    Biashara za Uganda zinatarajiwa kusimama kenya ikijitayarisha kwenda tena kwa uchanguzi mpya wa Rais oktoba 26.

    Wafanyibiashra kutoka Uganda wanasema mtiririko mzuri wa bidhaa kwenye kanda kuu ya usafiri wa Mashariki mwa Afrika inaweza vurugika.

    Chama cha Upinzani nchini Kenya kikionekana kukosoa waandaji Uchanguzi, wafanyabiashara wa Uganda wanaanza kuhisi athari, kwa bei ya mafuta kupanda.

    Bei ya mafuta tayari imeanza kupanda juu, kutoka kwa bei ya kawaida ya Sh 3,550 hadi Shs 3,700.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako