• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo dhidi ya Burundi kwa mwaka mmoja

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:18:40

    Umoja wa Ulaya umeamua kurefusha muda wa vikwazo dhidi ya Burundi kwa mwaka mmoja hadi Oktoba 31 mwaka kesho. Taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Umoja wa Ulaya nchini Burundi inasema, uamuzi huo unatokana na kukosekana kwa maendeleo kwenye ulinzi wa haki za binadamu, na mchakato wa kuhimiza demokrasia na utawala wa kisheria nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako