• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Serikali ya Rwanda yatenga franc milioni 500 kufadhili miradi ya kilimo biashara

    (GMT+08:00) 2017-10-24 19:54:40
    Serikali ya Rwanda imetenga franc milioni 500 za kufadhili miradi ya kilimo biashara kwa wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu.

    Halmashauri ya huduma za ajira nchini humo imesema hatua fedha hizo zinalenga kuwasaidia vijana kupata ajira na kujihusisha na kilimo chenye faida.

    Mkurungezi wa halmashauri hiyo Antonia Mutoro, amesema wanafunzi wanaotaka kupata fedha hizo wanaalikwa kuandika mapendekezo yao.

    Miradi isiopungua 60 itafadhiliwa na pesa hizo katika kipindi hiki cha mwaka wa fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako