• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika: TP Mazembe uso kwa uso na Supersport

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:40:31

    Timu ya Supersport united imefanikiwa kwenda fainali ya kombe la shirikisho la soka barani Afrika baada ya ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya wenyeji, Club Africain kwenye mchezo wa marudiano wa nusu faonali uliofanyika uwanja wa Olimpiki mjini Rades.

    Super sport sasa itakutana na mabingwa watetezi TP Mazembe ya DRC katika mechi ya fainali itakayopigwa mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako