• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wanne wa Morocco wafutwa kazi kutokana na kuchelewesha miradi ya maendeleo

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:53:19

    Mfalme wa Morocco Mohammed wa Sita amewafuta kazi mawaziri wanne kutokana na kuchelewesha miradi ya maendeleo mjini Al Hoceima, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Waliofukuzwa kazi ni mawaziri wa elimu, afya, mipango ya taifa na katibu anayeshughulikia mafunzo kazi. Mwaka 2015, Morocco ilizindua mradi mkubwa wa maendeleo mjini Al Hoceima, lakini programu nyingi zimeshindwa au kucheleweshwa kutokana na uzembe wa maofisa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako