• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bw. Xi Jinping achaguliwa kuwa katibu mkuu wa kamati kuu ya 19 ya CPC

  (GMT+08:00) 2017-10-25 12:17:25

  Mkutano wa kwanza wa Kamati kuu ya 19 ya Chama cha kikomunisti cha China umefungwa leo asubuhi hapa Beijing, na kumchagua Bw. Xi Jinping kuwa katibu mkuu wa kamati hiyo.

  Mkutano huo pia umewachagua wajumbe wa Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama na wajumbe wa kudumu wa kamati hiyo, kupitisha orodha ya wajumbe wa sekretarieti ya kamati kuu ya Chama, na kuidhinisha orodha ya katibu, manaibu wake na wajumbe waliochaguliwa kwenye mkutano wa kwanza wa kamati ya ukaguzi wa nidhamu ya Kamati kuu ya chama.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako