• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mageuzi na ufunguaji mlango ni hatua muhimu inayoamua hatma ya China ya zama hizi

  (GMT+08:00) 2017-10-25 12:58:28

  Bw. Xi Jinping amesema mwaka 2018 itatimia miaka 40 tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango. Sera hiyo ni hatua muhimu inayoamua hatma ya China ya zama hizi. Chama cha Kikomunisti cha China kitajumuisha uzoefu, kuhimiza mambo ya kisasa katika kukamilisha mfumo na kuongeza uwezo wa kushughulikia matatizo ya nchini, kushikilia kithabiti kuendeleza kwa kina mageuzi na kupanua ufunguaji mlango, ili mambo ya mageuzi na ufungaji mlango yatahimizana na kusaidiana. Ameeleza imani yake kuwa malengo ya kustawisha Taifa la China hakika yatatimizwa katika mchakato wa mageuzi na ufunguaji mlango.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako