• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping asema zama mpya zinahitaji hali mpya

  (GMT+08:00) 2017-10-25 13:07:13

  Rais Xi Jinping wa China amesema kutokana na juhudi za muda mrefu, ujamaa wenye umaalumu wa China umeingia kwenye zama mpya, ambazo zinahitaji hali mpya na mafanikio mapya.

  Amesema katika miaka mitano ijayo, China itakuwa kwenye kipindi cha makutano ya historia ya kutimiza malengo yake ya maendeleo, ambapo malengo ya miaka 100 ya chama na malengo ya miaka 100 ya taifa yatatimizwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako