• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping asema wananchi wote watanufaika baada ya China kukamilisha ujenzi wa jamii yenye maisha bora mwaka 2020

  (GMT+08:00) 2017-10-25 13:27:13

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuwa China itakamilisha ujenzi wa jamii yenye maisha bora ifikapo mwaka 2020, ambapo wananchi wote watanufaika na mafanikio hayo.

  Rais Xi pia amesisitiza dhamira yake ya kukamilisha jukumu la kuondoa umaskini kote nchini, kujitahidi kufanya vizuri kazi mbalimbali za kuboresha maisha ya wananchi na kuwafanya waishi na furaha, usalama na neema.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako