• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya walioambukizwa kipindupindu mjini Lusaka yafikia 130

    (GMT+08:00) 2017-10-26 08:50:04

    Wizara ya afya ya Zambia imesema idadi ya watu walioambukizwa kipindupindu mjini Lusaka imeongezeka na kufikia 130 tangu mlipuko wa ugonjwa huo uibuke mwanzoni mwa mwezi huu. Ofisa habari wa wizara hiyo Bw Stanslous Ngosa amesema asilimia kubwa ya wagonjwa wametibiwa, na wizara hiyo inashirikiana na wadau kuboresha upatikanaji wa maji safi ya kunywa. Takwimu zinaonesha mpaka sasa ugonjwa huo umesababisha kifo cha mtu mmoja nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako