• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Wakulima 200 wafunzwa usimamizi wa kilimo

    (GMT+08:00) 2017-10-26 20:09:58

    Zaidi ya wakulima 200 kutoka wilaya ya Koa Uganda wamenufaika kwa mafunzo ya siku mbili kuhusu usimamizi wa kilimo.

    Anja De Fejter mkurugenzi mkuu wa shirika la Agribusiness Development Centre amesema mafunzo hayo yatawawezesha wakulima hao kuboresha biashara ya kilimo katika eneo la kasakazini mwa Uganda.

    Fauka ya ujuzi,wakulima hao wamepewa fedha na kufunzwa mbinu za kutafuta soko la mavuno yao.

    Ushirikiano huo umewasusisha wadau wa benki za Uholanzi na wizara ya kilimo ya Uganda.

    Baadhi ya wakulima waliofaidika na mafunzo hayo wameahidi kuuunda vikundi vya usihirika wa kilimo ili kujifunza na kutekeleza walioyoyasoma.

    Mradi huu utagharimu shilingi bilioni 3.6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako