• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Antonio Conte agoma kumtoa Charly Musonda kwa mkopo

    (GMT+08:00) 2017-10-27 09:52:51

    Kocha wa Chelsea, Antonio Conte amegoma kumtoa kwa mkopo kinda wake, Charly Musonda katika dirisha la Januari na anamtaka kinda huyo wa kimataifa wa Ubelgiji abakie klabuni hapo mpaka mwishoni mwa msimu huu.

    Hivi karibuni Musonda, ambaye baba yake ni staa wa zamani wa Zambia, Charles Musonda aliingia matatizoni na mabosi wake wa Chelsea baada ya kulalamika kwamba, alikuwa hapati nafasi katika kikosi cha Chelsea licha ya kujituma sana mazoezini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako