• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa China wa kuisaidia Madagascar kukinga na kudhibiti tauni wawasili Antananarivo

    (GMT+08:00) 2017-10-29 18:31:31

    Kikundi cha kwanza cha wataalamu 4 kutoka China wa jana alasiri kiliwasili huko Antananarivo, Madagascar, na wataanza kufanya kazi ya kukinga na kudhibiti hali ya ugonjwa wa tauni kwa mwezi mmoja.

    Mkuu wa kikundi hicho ambaye pia ni naibu katibu wa kamati ya chama cha kikomunisiti cha China ya kituo cha udhibiti wa ugonjwa wa China Bw. Wangjian amesema kuwa, kazi muhimu ya kikundi hicho ni kuelewa hali ya ugonjwa wa tauni na kufanya mawasiliano na ushirikiano na idara ya afya ya Madagasca na idara ya shirika la afya duniani nchini Madagascar, ili kukabiliana na ugonjwa wa tauni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako