• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Tanzania Bara (VPL): Mechi ya watani wa jadi hakuna mbabe.

    (GMT+08:00) 2017-10-30 08:33:50
    Vigogo wa soka Tanzania, Simba na Yanga juzi Jumamosi wamegawana pointi baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

    Kwa matokeo hayo, timu hizo zimegikisha pointi 16 baada ya kucheza mechi 8 kila moja. Mchezo mwingine wa ligi kuu ulipigwa jana uwanja wa Manungu Morogoro, Mtibwa Sugar ikilazimishwa sare ya 0-0 na Singida United.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako