• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Uhispania (La Liga) Real Madrid wachapwa 2-1

    (GMT+08:00) 2017-10-30 08:35:28
    Real Madrid imepoteza mchezo wake wa La Liga ugenini mbele ya wenyeji Girona kwa kukubali kichapo cha 2-1 wanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona, Katalunya. Mabao ya Girona yamefungwa na Christthian Stuani dakika ya 54 na Christian Portu dakika ya 58. Huku Isco akiipatia Madrid goli la kufutia machozi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako