• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa jimbo la wakurdi la Iraq atangaza kujiuzulu

    (GMT+08:00) 2017-10-30 09:21:16

    Mwenyekiti wa jimbo la wakurdi la Iraq Bw Masoud Barzani ametangaza kujiuzulu kuanzia tarehe mosi mwezi juao.

    Habari zinasema Bw Barzani ameliwasilisha barua ya kujiuzulu kwa bunge la jimbo hilo, akisema hataendelea na wadhifa wa mwenyekiti wa jimbo hilo kuanzia Novemba mosi.

    Bw Barzani amesema hatakubali marekebisho ya kanuni kuhusu uenyekiti wa jimbo la wakurdi, wala uamuzi wa kurefusha kipindi cha uenyekiti huo.

    Katika terehe 24 mwezi huu, bunge la jimbo la wakurdi liliamua kurefusha kipindi chake cha uenyekiti kwa muda wa miezi minane, na kuahirisha uchaguzi wa bunge jipya na wa mwenyekiti kwa miezi minane.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako