• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenay: Bei ya mchele imeongezeka kutokana na uzalishaji wa chini na gharama ya juu ya uagizaji.

    (GMT+08:00) 2017-10-30 20:10:21

    Bei ya Mchele imeongezeka zaidi mwezi Oktoba baada ya kupungua kwa uzalishaji wa ndani na gharama kubwa ya uagizaji.

    Kilo moja ya mchele wa Pishori katika maduka ya nafaka mjini Nairobi imeongezeka kwa wastani wa Sh30 katika wiki tatu zilizopita na kuuzwa kati ya sh 230 na 210 kutoka sh 160 mwezi Januari.

    Uzalishaji wa mchele katika eneo la mwea umeshuka kwa asilimia 40 mwaka huu, kusukuma Kenya kutegemea zaidi bidhaa za nje.

    Bwana Ariemba, amesema Bei zitabaki juu hadi katikati ya mwezi Novemba wakati tunatarajia mazao mapya kwenye soko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako