• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya mchezo wa magongo Afrika: Kenya yapigwa 5-3 na Ghana

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:45:51
    Kenya imepigwa mabao 5-3 na Ghana katika mechi ya kutafuta mshindi wa medani ya shaba ya wanaume kwenye mashindano ya magongo ya Afrika nchini Misri.

    Saa chache baada ya timu ya kinadada wa Kenya kunyolewa 2-1 na Nigeria kwa njia ya penalti katika mechi nyingine ya kutafuta mshindi wa 3. Timu za wanawake na wanaume wa Afrika kusini zimetawazwa mabingwa wa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako