• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanawake kuruhusiwa kuingia viwanja vya michezo Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:47:55
    Saudi Arabia itawaruhusu wanawake kuhudhuria michezo katika viwanja vya michezo kwa mara ya kwanza kuanzia mwaka ujao. Familia zitaweza kuingia kwenye viwanja 3 vya michezo vya Riyadh, Jeddah na Dammam.

    Hii ni hatua nyingine ya kuwapa wanawake uhuru. Miezi michache iliyopita nchi hiyo iliruhusu wanawake kuendesha magari kwa mara ya kwanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako